ABDULKARIM SUMA





Tuesday, July 30, 2013

JUSTINE BIABER YAMKUTA MENGINE


mwaka huu aliusishwa na skendo ya kuvuta bangi yani(marijuwana)na sasa mwanamziki huyu wa ulaya anayekonga nyoyo za wadau wengi duniani na nyota mwenye umri mdogo zaidi ameusishwa tena kwenye skendo nyingine ya kukutwa na vileo hatari ambavyo ni (marijuwana na kileo aina ya paraphernalia.) kwenye basi akielekea kwenye tour uko Canadian border.
mnamo januari mwaka huu baada ya kuwa na skendo uvutaji uo wa marijuana aliweza kutuma ujumbe wa mandishi kwenye twitter akiomba msamaha alisema ivi:'I see all of u. I hear all of u. i never want to let any of you down. i love u. and..thank u. #beliebers'

Nabbed: One of Justin Bieber's tour buses was stopped in a drugs bust on the Canadian border

1 comments: