Miss Philippines avishwa taji la Miss World na miss kutoka Ghana awa mshindi tatu. Angalia picha ya tukio jinsi lilivyokuwa
Miss Philippines Megan Young mwenye umri wa miaka 23 amevishwa taji la Miss World ambalo limefanyika leo hii huko Indonesia. Megan ni mzaliwa wa Marekani na ana umri wa miaka 23 anasomea mambo ya digital film. Mshindi wa pili ametoka France na watatu kutoka Ghana.
Megan akitoa hotuba ya shukrani baada ya kuvishwa taji na Wenxia Yu wa China ambaye ndiyo Miss World aliyemaliza muda wake leo, Megan ameahidi kuwa miss world bora zaidi ya waliowahi kutokea.
0 comments:
Post a Comment