ABDULKARIM SUMA





Friday, November 1, 2013

NEW VIDEO: Shaa ‘sugua gaga’ sikiliza na | download |

Shaa 2Shaa amekua miongoni mwa Wasanii wa Tanzania ambao huwa hawatoi nyimbo mpya mara kwa mara na ndio maana anapotangaza watu wajiandae kupokea single yake mpya lazima isubiriwe kwa hamu kubwa.
millardayo.com inayofuraha kukupa nafasi hii kuitazama video na kuisikiliza single yake mpya kwa mara ya kwanza hapa na kisha utoa maoni yako hapo chini mtu wangu.

0 comments:

Post a Comment