Happy birthday Diamond Platinumz…soma hapa alichoandika Penny kwenda kwa Diamond
Miaka
kadhaa iliyopita siku kama ya leo alipewa jina la Naseeb Abdul lakini
kutokana na kazi yake ya jukwaani siku hizi tunamjua kwa jina la Diamond
Platnums amabe leo ana kila sababu za kusherehekea miaka aliyoishi hadi
leo, Happy birthday kwake na soma hapa maneno aliyoandika mpenz wake
Diamond.
0 comments:
Post a Comment