ABDULKARIM SUMA





Friday, October 4, 2013

P-SQUARE KUPIGA SHOW BONGO TAREHE 23 NOVEMBER

Baada yakumaliza ziara yao marekani na kanada mwezi uliopita mapacha wa kundi la P-square Peter
na Paul okoye kutoka nigeria wanatarajiwa 'personally' kutua bongo kwajili ya kazi moja tu ya kuwakilisha
Kwa mujibu wa kituo cha EATV wasanii hao wenye hits nyingi ikiwemo alingo, shop My money na zingine wanatarajiwa kufanya onyesho lao Tanzania tarehe 23 november

HII NI POST YA EATV LEO WALIOTUMA KWENYE MTANDAO WA FACEBOOK

TUTAELEWANA TU MWAKA HUU AU SIO?!! EHHH!!
Sikia hii sasa!! Tanzania kwa mara nyingine tena tunawaleta kwenu 'P SQUARE'.
Jipange kucheza na PERSONALLY, ALINGO, CHOP MY MONEY na nyingine kibaooooo!!
NOVEMBA patakuwa HAPATOSHII!! JIPANGEEEE !!!!!!!!!


0 comments:

Post a Comment