ABDULKARIM SUMA





Thursday, October 3, 2013

Rapper Aliyekuwa Kwenye Kundi La G Unit, Young Buck Atoka Jela

Rapper Young Buck aliyekuwa G Unit ametoka Jela Tarehe 1 October 2013 kwa mujibu wa account yake ya twitter. Buck alikuwa jela kwa miezi 18 kwa kosa la kukutwa na silaha kinyume cha sheria. Fahamu juwa rapper huyu ameshatangaza kuishiwa kabisa baada ya kukiuka mkataba wake na Record lebel yake ya G Unit miaka kadha iliyopita na ndio kitu kilicho pelekea Young Buck kutokuwa na pesa kabisa.


Mwezi wa Tisa mwaka huu kuna kazi mpya ya Young Buck ilitoka na mpaka sasa hakuna aliyethibitisha kuwa aliyeandika kwenye account ya twitter ya Young Buck kuwa ametoka jela na He Is A free Men, ni Young Buck au mtu mwingine. Kazi iliyotoka Ni Rage Ft Marvin Gaye.

0 comments:

Post a Comment