ABDULKARIM SUMA





Monday, October 7, 2013

Wakazi wa moshi wadai CLOUDS wajipange kwa EATV



Wakazi wa moshi wameitaka CLOUDS TV kujipanga sana kwa EATV kwa kile kilishotokea wakati wa fiesta moshi jana tarehe 6 october kwa kuchelewa kwa mandalizi yaliyowafanya mashabiki kungoja kwa muda mrefu hali ya kuwa ni muda wa show kuanza wengi walidai ingelikuwa ni EATV wangeliakikisha wamefanya maandalizi kabla ya mashabiki kufika uwanjani show iyo ya fiesta ilitumbuizwa na wasanii wakali walioweza kuamsha popo mpaka majogoo na kufanya kuacha historia moshi kwa show kali pia kwa upande wa moshi waliweza kutoa mwakilishaji wao wa super nyota kwa mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment