ABDULKARIM SUMA





Wednesday, November 6, 2013

Hii ndio video mpya ya Inspector Haroun iliyofanywa na Mike Tee – sharubu za babu

Inspekta harounNi miongoni mwa wasanii wa longtime Tanzania ambao bado wamekua wakisikika kwenye radio na kuonekana kwenye TV wakiwa na nyimbo mpya… Inspector Haroun kamshirikisha Nandy kwenye hii single mpya ambayo video imefanywa na msanii wa longtime bongoflevani ambae sasa anamiliki kampuni ya kutengeneza video… Mike Tee.

0 comments:

Post a Comment