Dar
es salaam Tanzani Matoke ya Darasa la Saba yametangazwa hivi punde hivi
punde na mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana
mbaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani
mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi
wa mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema
ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06
ukilinganisha na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefahulu zaidi katika
somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilio faulu kwa kiwango
kidogo zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda
amesema jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani
huo wamepata alama ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na
asilimia 50.61
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment