ABDULKARIM SUMA





Thursday, November 21, 2013

Picha, Mtoto Wa Will Smith Jaden Smith Akiwa Na Baby Wake Kylie Jenner

Mdogo wa Mwanamitindo star Kim Kardashian Kylie Jenner akiwa na boy friend wake mtoto wa star wa filamu Will Smith, Jaden Smith. Bonyeza Hapa Kuona Picha Zaidi

Vijana hawa wawili wamekuwa wakionekana pamoja kwa muda sasa kwenye sehemu tofauti za starehe huko West Hollywood na November 19 walipigwa picha wakiwa kwenye maduka ya vitu vya thamani na ilionekana kama Jaden amejipanga kugharamia sana baada ya kutengeneza pesa nyingi kupitia filamu yake na Baba yake Will Smith iliyofanya vizuri Marekani na dunia nzima 'After Earth'

0 comments:

Post a Comment