ABDULKARIM SUMA





Tuesday, December 3, 2013

Album Ya Kanye West Yatajwa Kama Cd Bora Ya Mwaka 2013, Zingine Ziko Hapa

Jarida la Rolling Stone limataja album kubwa na bora za mwaka 2013 baada ya uchunguzi kufanyika kupitia mauzo bora, mapokezi ya album sokoni na mitaani,
Ilivyozungumziwa na kutajwa zaidi kwenye mitandao na ubora wa muziki wake.

Album ya  Kanye West "Yeezus" imekuwa namba mbili kwenye orodha hio ya album hizo na Drake "Nothing Was The Same", Danny Brown "Old" zikifata kwenye top 20 ya Album bora za mwaka 2013.

Drake na cd yake ya Nothing Was The Same ipo namba 14 na Danny Brown 'Old' Ipo namba 17
 
Album ya Eminem The Marshall Mathers LP2 Imedondokea namba 24 huku album ya Chance The Rapper 'Acid Rap ikiwa namba 26.

Miley Cyrus na Bangerz amechukua namba 27 kwenye orodha bora ya album za mwaka 2013. 
Msanii wa Good Music na album yake ya My Name Is My Name 'Push T' imechukua namba 33 Huku J Cole na Born Sinner akiwa namba 41. Msanii M.I.A Amebana kwenye nafasi ya 47 na Matangi 

0 comments:

Post a Comment