ABDULKARIM SUMA





Sunday, December 29, 2013

ARSENAL YAFUNGA MWAKA 2013 KILELENI

Olivier Giroud akishangilia bao pekee aliloifungia Arsenal na kukwea kileleni.
Cheick Tiote wa Newcastle (kulia) akiwania mpira na Wilshere wa Arsenal.
Olivier Giroud (katikati) akiwatoka Tiote (kushoto) na Mike Williamson wa Newcastle.
Timu ya Arsenal imejihakikishia kumaliza mwaka 2013 ikiwa kileleni mwa Ligi Kuu ya England baada ya kuifunga Newcastle bao 1-0 kwenye mechi iliyopigwa Uwanja wa St. James' Park hivi punde. Kwa ushindi wa leo Arsenal imefikisha pointi 42 ambapo hakuna timu nyingine yoyote itakayozifikisha kwa mwaka huu.

0 comments:

Post a Comment