Baada ya list ya wachezaji zaidi ya 20 kutangazwa kuwa mmoja kati yao atashinda tuzo kubwa sana kwenye soka ambayo si nyingine bali ni Fifa Ballon D’or.
Ifikapo January 13 kwenye jiji la Zurich jumuiya ya soka itakutana kumtangaza mrithi wa Lionel Messi ambaye ndiye anashikilia award hiyo kwa kunyakua mwaka 2013.
Frank Ribery ,Cristiano Ronaldo na Lionel Messi ndiyo majina matatu ya mwisho kutangazwa kuwania tuzo hiyo baada ya mchujo kufanyika kutoka kwenye list ndefu ya wachezaji zaidi ya 20.
0 comments:
Post a Comment