ABDULKARIM SUMA





Sunday, December 1, 2013

Kama jana ukucheki Fainali za BSS mjue mshindi na matukio yalivyokuwa

Mshindi wa EBBS 2013 Emmanuel Msuya.
Mwanamuziki Snura Mushi akiwajibika jukwaani kwa kucheza wimbo wake wa 'Nimevurugwa'.
 
Mwanamuziki Walter Chilambo ambaye ndiye mshindi wa shindano la EBSS 2012 akitumbuiza steji

TANO BORA WA EBSS 2013 WAKIONYESHA UJUZI WAO STEJINI

Mshiriki mmoja kati ya Tano Bora kutoka mkoani Mbeya, Amina Chibaba akifanya vitu vyake stejini.
Amina akionyesha umahiri wake stejini.
Akizidi kulishambulia jukwaa la EBSS 2013 kwa fujo.
Mshiriki Maina Thadei akionyesha manjonjo yake stejini.
...Akizidi kupagawisha katika fainali hizo.
Maina akizidi kupigania ushindi wa EBSS 2013.
Emmanuel Msuya mwanaume pekee aliyebaki katika shindano hili akionyesha umahiri wake stejini.
Emmanuel akionyesha ufundi.
...Akiwania kuibuka mshindi wa EBSS 2013.
Mshiriki Elizabeth Mwakijambile akiwa jukwaani.
...Eliza akiwapagawisha mashabiki.
...Akionyesha machejo yake.
Mellisa John akiwa stejini.
...Akionyesha machejo yake.
Mellisa John akisubiri maoni ya majaji.

0 comments:

Post a Comment