ABDULKARIM SUMA





Saturday, December 7, 2013

KAMA WEWE NI MWANACHAMA WA CHADEMA HICHI NDICHO KILICHOMKUTA ,DR.SLAA HUKO KIGOMA




Kinachoendelea KIGOMA muda huu na hata kwenye kwenye Maandamano Makubwa ni hiki wanachama wa CHADEMA wakiandamana kupinga ujio wa Dr SLAA na viongozi wenzake mkoani.
Mods tunaomba postive na Negative Pictures anachokutana nacho Dr.slaa ziruhusiwe hapa Jukwaani,naona watu wamekaa kusifiana tu hapa.Ukweli ni Kwamba Dr.slaa amekutana na wakati Mgumu akiwa Kigoma.Picha zingine zitakuja na saambili Usiku ITV,TBC NA STAR TV wataonesha hali ya leo Kigoma walivyojitokeza Kupinga Ujio wa Dr.slaa.

0 comments:

Post a Comment