ABDULKARIM SUMA





Thursday, December 19, 2013

Zijuwe filamu 16 zilizotamba zaidi kimtaifa mwaka 2013


Winner: "Iron Man 3" Ndio filamu iliyotengeneza pesa nyingi zaidi mwaka 2013, Fuatilia hapa kuona zaidi.


Winner: "Gravity" Imefanya vizuri mwisho wa mwaka hu na itapokea zawadi zaidi mwakani. Ila mpaka sasa toleo la saba halijamalizika baada ya kupata msiba wa Paul Walker.
Winner: "Fast & Furious 6" ni filamu yenye muendelezo na mafanikio ya kipeke sana mwaka huu, Inatabiriwa kuendelea kufanya vizuri ata kwenye matoleo mengine.
Winner: Tom Hanks ameshangaza dunia mwaka huu kwa kufanya vizuri zaidi kwenye  "Captain Phillips" na  "Saving Mr. Banks." na tuzo zake mwakani zitakuwa nyingi zaidi.

Winner: Melissa McCarthy amekuwa na mwaka mzuri kupitia filamu kama "Identity Thief"na "The Heat."

Winner: Jennifer Lawrence ameshinda tuzo ya Oscar mwezi wa pili na mwaka 2013 amepata box-office gold  kupitia filamu ya The Hunger Games: Catching Fire na American Hustle .
Winner: Matthew McConaughey amepongezwa kwa filamu zake kubwa mbili za mwaka 2013 ambazo ni "Mud" na "Dallas Buyers Club." 
Winner: Amy Adamsameigiza kama Lois Lane kwenye filamu ya "Man of Steel" na kushinda tuzo kupitia filamu ya "American Hustle."  na amecheza kwenye filamu ya "Her."

Winner: kwenye "12 Years a Slave" ni moja ya filamu iliyohusu wa Amerika weusi nakuchezwa na Lee Daniels aliyekuwepo kwenye The Butler. Imekuwa na mafanikio mwaka huu.
Winner: akiwa na miaka 77, star Robert Redford  amepokelewa vizuri na kufanya vizuri na filamu yake mpya ya "All Is Lost." 
Winner: "Despicable Me 2" ndio filamu ya animation iliyofanya vizuri na kuwa na mauzo makubwa zaidi mwaka huu hata kuishinda  "Monsters University." 
Loser: Waliwekeza pesa nyingi sana kwenye hii filamu "The Lone Ranger" ila mpaka sasa haijatengeneza hata dolla milioni $100 million.

Loser: Ryan Reynolds kwenye movie zake mbili ambazo ni "R.I.P.D." na "Turbo" hazikufanya kama alivyo tegemea.
Loser: Washington. ilifunnikwa vibaya sana na filamu ya "Olympus Has Fallen" na kupewa changamoto na  "White House Down" ndio maana ilifeli.

Loser: "After Earth" Mwongozaji wa filamu hii M. Night Shyamalan hakuwa na mategemeo makubwa ya filamu ile baada ya kuitoa muda mbaya kwenye soko na  hata baada ya kuweka stars wakubwa kama Will Smith Na Mtoto wake haikufanya vizuri.

Loser:  "Man of Steel, Star Trek Into Darkness na Pacific Rim" zote ni stori moja iliyo hadithiwa tofauti. Ukiona moja huna haja ya kuona nyingine. 

0 comments:

Post a Comment