ABDULKARIM SUMA





Sunday, January 12, 2014

Baada ya kimya kingi Mwasiti anakuja na new song - SEREBUKA [Coming Soon]

Hit Maker wa Wimbo unaobamba In Town wa "MAPITO" Msanii wa Kike Mwasiti Jumatatu ya Wiki ya Kesho anategemea kuachia Bonge la Song kwa Mashabiki wake linalokwenda kwa Jina la "SEREBUKA"
Mwasiti amesema wimbo wake huo Mpya utakuwa ni zawadi kwa Mashabiki wake kwa Mwaka 2014,Wimbo uliojikita kwenye mahadhi ya kumfanya kila anayeusikiliza acheze.
Kwa hiyo Mdau wa Bongo Fleva na Shabiki wa Mahaba niue wa Mwasiti stay Tuned jumatatu Mzigo Unaanguka Hapa ABDULKARIM SUMA

0 comments:

Post a Comment