Gari aina ya Noah iliyopata ajali kwa kugongana na lori katika eneo la
Kijiji cha Isuna, mkoani Singida na kusababisha vifo vya abiria 13,
jana. Picha na Gasper Andrew
Omari Shaban (44), mke wake Salma Omari na mtoto wao Nyamumwi Omari (10)
wakazi wa Itigi, Singida, walifariki dunia baada ya gari walilokuwa
wakisafiria aina ya Noah kugongwa na lori aina ya Scania katika ajali
iliyosababisha vifo vya watu 13 mkoani humo.
0 comments:
Post a Comment