ABDULKARIM SUMA





Wednesday, January 15, 2014

Hii ndo picha mpya aliyopost Jack Cliff leo iliyozua utata.


17d2fe567d6d11e383400e257587a6a0_8
Bado hakuna anayejua undani kuhusu picha inayoonekana kapost Jack Cliff ambaye inasemekana kakamatwa huko Macao nchini China ingawa
taarifa hizi mpaka sasa hazina uhakika,kuna watu wanajiuliza kama kakamatwa je karudi uraiani??na kama yuko uraiani mbona pia familia yake bado haimpati kwenye simu?
JACK+CLFFF
Jack Cliff inavyonekana kapost picha hiyo leo akiwa kavaa kofia nyeusi iliyoandikwa Kenzo ,top nyeusi na pensi aliyowahi kuonekana nayo kwenye picha zake kadhaa na katika post hiyo chini ya picha aliandika alama ya vidole viwili  tunajiuliza kama kweli alikamatwa na je na kama hakukamatwa mbona kawa kimya kipindi kirefu tangu taarifa hizi zianzwe kusambazwa  au kuna mtu kaingia kwenye akaunti yake ya  Instagram na kupost picha hiyo,Abdulkarimsuma.com inafatilia suala hili ili kukupa habari kamili.

0 comments:

Post a Comment