Kuhusu Gari lililoungua moto jioni ya January 31.picha hizi hapa
Tukio
la kuungua kwa gari hili limetokea barabara ya Nyerere jioni ya January
31 ambalo inahusisha hiyo Gari aina ya Coaster ambayo imewaka
moto,chanzo cha moto huo bado hakijajulikana,millardayo.com inaendelea
kufatilia kwa undani habari hii endelea kuwa karibu na millardayo.com
kwa taarifa zaidi.
0 comments:
Post a Comment