MBUNGE WA CHALINZE, SAID BWANAMDOGO (CCM) AFARIKI DUNIA
Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani Bwanamdogo enzi za uhai wake.
HABARI
zilizotufikia hivi punde ni kwamba Mbunge wa Chalinze, Said Ramadhani
Bwanamdogo (CCM), aliyekuwa amelazwa chumba cha wagonjwa mahututi
(ICU), katika Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Mishipa ya Fahamu
(MOI) amefariki dunia!
0 comments:
Post a Comment