MSANII mkongwe wa muziki wa dansi Bongo, 
Muhidini Gurumo ambaye kwa sasa amestaafu, amefungukia skendo ya kuwa na
 mademu wengi inayomuandama Nasibu Abdul ‘Diamond’.
“Pamoja na skendo za mademu zinazomuandama, siwezi kumshusha thamani, ana haki ya kujiopolea mwanamke yeyote anayempenda, yeye kama mwanaume rijali wakati mwingine ni vigumu kujizuia na vishawishi hivyo.”
















0 comments:
Post a Comment