ABDULKARIM SUMA





Friday, January 31, 2014

Picha Na Info, Anachofanya Ali Kiba Na Producer Lamar Pale FishCrab


Legend wa Bongo Fleva mwenye heshima ya kutawala majukwa mengi ndani na nje ya Africa Ali Kiba ameonekana na Producer Lamar wa Fish Crab wakifanya kazi pamoja kukamilisha wimbo
ambao mpaka sasa Unajulikana kama “She Makes My Day”.
Kwenye mazungumzo ya dakika moja niliyofanya na Kiba amenidokeza kuwa ni nyimbo tu anazo rekodi akiwa na wazo zuri na sio lazima iwe kazi inayo toka hivi karibuni.
kiba 2Hii ni kawaida kwa Kiba kuwa na kazi nyingi studio ambazo zinaweza kutoka muda na wakati wowote.

0 comments:

Post a Comment