Profesa Jay Na Diamond wanakuja na hii mwaka huu kwenye studio ya Bongo Records, Soma Alichoandika Jay.
Legendary Hiphop Artist kutoka Tanzania Profesa Jay akiwa na Diamond ndani ya studio za Bongo Records Na Best Tanzania Producer of All Time P Funk Majani. Post Ya Profesa Kuhusu Hii Picha Iko Hapa
0 comments:
Post a Comment