wa rapper huyo wameanzisha website inayojulikana kama Yeezianity.com maalum kwa watu waote wanaotaka kubadili dini na kumfuata rapper huyo THE BEST CHURCH OF ALL TIME
Kwenye website hiyo kuna sheria nyingi na nguzo pia kuna tamko la imani ikiwemo imani ya yeezu`s na (I beleave Yeezus well lead use into a new age of Creativity amen) mwanzilishi wa Yeezianity ameongea na mtandao wa vice na kusema Yeezianity sio kitu cha mzaa na kutotaka kutajwa jina lake ANGALIA BAATHI YA PICHA
“Sisi ni kundi lisilotaka kujulikana linaloamini kuwa yule anayejiita Yeezus ni kiumbe kitakatifu kilichotumwa na Mungu kuongoza kwenye kizazi kipya cha ubinadamu,” yanasomeka maneno kwenye website.
0 comments:
Post a Comment