
wameshakamilisha album hiyo ya Cash Money na wanatarajia kuiachia muda si mrefu alivyoulizwa tarehe ya kuachia album hiyo alisema hawezi kusema tarehe kamili ya kuachia ngoma hiyo ila itakuwa surprise kwa mashabiki wa ukweli “We’re very close to dropping the album,” Smith told the Griffin. “It’s going to be a huge surprise to everyone,















0 comments:
Post a Comment