ABDULKARIM SUMA





Saturday, February 8, 2014

Exclusive:Sikiliza ushirikiano huu wa Young Dee,Young Killer na Country Boy.

collaboUlishawahi kuhisi kitakachozaliwa baada ya Country Boy,Young Dee na Young Killer wakiwa kwenye booth tena wakirekodi wimbo mmoja?kama hukuwahi kuipatia picha jinsi itakavyokua basi millardayo.com inakupa nafasi ya kusikiliza kilichofanywa kwenye Collabo hiyo.
Wimbo una dakika 3 unaruhusiwa kutoa alama zako nani umemuelewa kwenye mashairi yake, unaitwa Akili za Usiku verse ya kwanza kaanza Country Boy,verse ya pili Young Killer na verse ya tatu na ya mwisho kamalizia Young Dee,upande wa Chorus wameimba wote                                                                             

0 comments:

Post a Comment