Hapa ni Queen Darleen na Shilole kwenye Beat ya Nakomaa na Jiji.Download
Huu ni wimbo mpya toka kwa Queen Darleen dada wa Diamond Platnumz amemshirikisha Shilole,unaweza kudhani ni rmx ya Nakomaa na Jiji lakini jibu ni hapana wimbo huu unaitwa Wanatetemeka,audio imefanywa pale pale kwa Mazuu.
0 comments:
Post a Comment