BAADA ya kipigo cha bao 5-1 jana kutoka kwa vijana wa Anfield, Liverpool, Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger alipata majanga mengine baada ya kuteleza na kuanguka wakati akiingia katika Stesheni ya Liverpool Lime Street ili kurejea London. Wenger aliteleza na kula mweleka akiwa na mabegi yake ambapo alisaidiwa na polisi wa eneo hilo la stesheni.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment