Leo ikiwa ni siku ile inayopendwa sana na wapenzi
duniani - siku ya Valentine, mwanadada Jacqueline Wolper ameamua kutoa
ujumbe huu ambao sisi tunaona unamuhusu kila mmoja, yule mwenye mpenzi
na hata yule
aliye single kuhusu mahusiano.
Kupitia mtandao mmoja wa kijamii, mwanadada Wolper ameandika
“…Mapenzi magumu saana usipokua makini nakua mvumilivu kwa wanaume na wanawake itakua kila siku unabadilisha kama nguo..”
Happy valentines all...

0 comments:
Post a Comment