Anaitwa Haruna Kahena memba wa kundi kongwe kwenye muziki wa bongoflava “Gangwe Mobb” akiwa na Luten Karama.Zamani alitamba sana na wimbo wake wa mtoto wa geti kali, lakini leo ni zamu ya “Haujachelewa” ambao unaweza kuusikiliza hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment