ABDULKARIM SUMA





Wednesday, February 12, 2014

Kama ulim-mis Ray C kwenye uimbaji hii hapa kauli yake kwako.

rayc-2Tangu itoke taarifa ya Ray C kuwa sawa kiafya Watanzania wengi na mashabiki wanatamani kumuona Ray C akiwa jukwaani ama wimbo wowote mpya toka kwake,kama nawe
hili lilikua swali lako hatimaye mwanadada Ray C kaamua kulijibu.
ray cKupitia ukurasa wake wa Instagram Ray C ameandika maneno haya ‘Naimiss steji vibaya mno!!!!Likizo ya mwaka mzima Alhamdullilah!!!Mungu ni mwema sana!!!Asante kwa afya baba yangu!!!Muda si mrefu narudi kazinina uhakika mashabiki wangu wapenzi mmenimiss saba!kila kitu tayari kimepikwa bado tu kuwaambia lini tu but nioombeeni heri wapenzi wangu najua sana mmeimiss sauti ya Ray C All over the world!!!jinsi ninavyowapenda na jinsi mlivyoniombea zawadi kama kumi hivi nimewaandalia!!mtashaje sasa!!kama nawaona vile!!bila nyie hakuna Ray C!!!Thank you so very much guys!!!my fans!my everything!!nawapenda mno!!!
Screenshot_2014-02-12-13-58-56
Mara ya mwisho binafsi kumuona Ray C jukwaani ni kwenye Jukwaa la Serengeti Fiesta 2013 pale Leaders ambapo alipanda kwenye jukwaa na Recho na kwa pamoja waliperfoam wimbo wa Ray C.

0 comments:

Post a Comment