Mpaka sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimeshinda kata tatu tu ambazo ni: Kata ya Sombetini Arusha, Kata ya Njombe Mjini, Kata ya Kiborloni Mkoani Kilimanjaro. kata zilizokuwa zinawaniwa ni 27 nyingine wameshinda chama cha mapinduzi (CCM)
0 comments:
Post a Comment