ABDULKARIM SUMA





Sunday, February 9, 2014

Video ya 'Nje ya Box' Ya Weusi Yaanza Kuoneshwa Channel O

Baada ya kuzungumzwa sana na kusifiwa hapa nchini huku ikichezwa mara kwa mara na vituo mbalimbali vya runinga Tanzania, hatimaye
video ya wimbo wa kundi la Weusi ‘Nje ya Box’, imechezwa katika moja kati ya vituo vikubwa vya runinga, Channel O.
www.djmwanga.com
 Video ya Wimbo wa Nje ya Box iliyofanywa na Joh Makini, Nikki wa Pili na G-Nako, iliongozwa na Nisher, na story yake iliandikwa na Joh Makini. Hii inakuwa video ya kwanza ya Weusi kuchezwa katika kituo hicho, lakini pia kwa mujibu wa Joh Makini ndi video yenye gharama kubwa zaidi kuliko video zote za Weusi.

0 comments:

Post a Comment