Stage hii kwenye msimu hu wa Fiesta imefunika angalia picha 9 za muonekano wa stage ya Fiesta usiku huu hapa Leaders
Hii unayoiona kama uzio ni barabara ya Wasanii kutembea juu kwa juu mpaka kwenye stage ya mbele lakini pia vilevile wanaweza mambo yao hapohapo kwenye hiyo barabara… naambiwa sio taa zote zilizowashwa mtu wangu
0 comments:
Post a Comment