ABDULKARIM SUMA





Thursday, November 21, 2013

“ATTENTION!!!” Ujumbe wa Diamond kwa mashabiki wa Ulaya. Soma alichokisema

DONT


“kuna Matangazo yanaendelea Kuwa eti Tareh 07/12/2013 nna show mnjini Brussels Belgium… taarifa hizo ni zauongo, SIZAKWELI!!!… Sina Mkataba wala Makubaliano na yoyote ya kuwa na Show huko tareh hiyo… Hivyo my Luvly Fans toka Brussels na nchi za jirani msije kuhudhuria maana Sintokuwepo……!” – Naseeb Abdul, al-maarufu Diamond Platnumz
Source: thisisdiamond.com

0 comments:

Post a Comment