ABDULKARIM SUMA





Friday, November 1, 2013

Tazama Weusi wakiperform ‘nje ya box’ na shangwe walilopata


Weusi 
Wamekua miongoni mwa wakali wa Hiphop walioshangiliwa sana kwenye Fiesta Tour 2013, Weusi katika rekodi zao ambazo sitozisahau ni hii show ya 87.9 Moshi… ungana na AyoTV kwenye hii video hapa chini ujionee mwenyewe mtu wangu



0 comments:

Post a Comment