ABDULKARIM SUMA





Monday, November 18, 2013

Picha Na Info, Msanii Angel Anatoa Wimbo Wake 'Nisamehe' Hivi Karibuni

Msanii Angel wa Tht aliyewakilisha Tanzania kwenye Tusker Project Fame 2013 Anatoa Wimbo Wake 'Nisamehe' Hivi Karibuni.

Fahamu kuwa Angel huyu ndiye uliyemsikia kwenye wimbo wa Ommy Dimpoz 'Baadae' kwenye Chorus kali aliyofanya.

0 comments:

Post a Comment