Picha Na Info, Rapper Darasa Anakuja Na Mixtape Mpya Yenye Nyimbo Kibao,Fuatilia Hapa
Rapper Darasa anakuja na Kanda Mseto [Mixtape] Yenye
nyimbo 19 Aliyoipa Jina La "Dream Big - ChapaKazi " . Mixtape inasauti
za wasanii kama Shilole, Ngwear, Akiba, Bandana, Jux, Suma Lee, One Da
Icredible Na Wengine Wengi.
0 comments:
Post a Comment