Angalia hapa picha za utengenezaji wa video mpya ya Chapa nyingine kutoka kwa Chege Chigunda
Chege
yupo kwenye maandalizi ya video yake mpya ya wimbo wa Chapa nyingine
ikisimamiwa na director Adam Juma ambapo wakali kama
Madee,Temba,Dimaond, Najma, Romie Jones na wengine wengi wataonekana
kwenye video. Chek hizi picha kwanza wakati tukisubiri video yenyewe on AyoTV
0 comments:
Post a Comment