Baada ya kifo cha msanii huyu nguli wa filamu duniani mashabiki wake wamekuwa na mapendekezo tofauti kuhusu nani atakuwa mrithi wake kwenye move yake ambayo
ilikuwa bado haijaisha inayojulikana kama
‘Fast & Furious 7′
Mashabiki wake wamekuwa na mtazamo mbalimbali kuhusu nani atakaye irithi nafasi ya Paul Walker kwenye move hiyo kunaambao walimpendekeza mwanamziki Justin Bieber kuweza kurithi kipande cha paul walker ila wengi walikataa na kusema hatoweza kurithi nafasi ya nguli huyo
Kwa mujibu wa mashabiki wengi kwa sasa wamempendekeza kakayake Paul Walker ambaye anaonekana kwenye picha ndogo hapo juu ajulikanae kama Cody Walker kurithi nafasi hiyo bado hakuja huwakika kamili wa mrithi wa nguli huyo ila mwenye naasi kubwa ni kakayake kurithi nafasi hiyo
0 comments:
Post a Comment