watoto ndiyo mashabiki wetu wakubwa,na mara
nyingi hawapati fursa ya
kuhudhuria maonyesho yetu
ama kukutana na
sisi..hivyo kutokana na kuwa awali,video
ya number 1 version ya
kwanza aliizndua kwa baadhi ya
watu special pekee..awamu hii,video ya
number one remix
aliyoifanya na
Davido wa Nigeria..ameamua kuionyesha kwa
mara ya kwanza kwa
watoto waishio katika
mazingira magumu..usisahau pia kuwa tarehe 25
mwezi huu.mchana .pale Leaders club atakuwa
na tamasha
special kwa ajili ya watoto ambao wengi hawapati fursa ya
kuona maonyesho yetu..na siku hiyo hiyo usiku
atakuwa Mwanza..get ready ...
watoto wakiangalia kwa makini kabisa
akisaini Kitabu cha wageni kabla ajaondoka
0 comments:
Post a Comment