ABDULKARIM SUMA





Sunday, January 12, 2014

JE UNAJUWA QUAVER MNAMA A.K.A (sururu ya kaskazini) ANAKUJA NA LIPI MWAKA HUU? SONG MPYA NA DARASA SOON

Baada ya kulikimbiza game la mziki hasa hasa kaskazini quaver mnama A.K.A sururu ya kasakazini anakuja na ujio mpya project inaosimamiwa na PLAN B RECODS

 Mkali huyu aliyewabamba watu wengi sana kwenye ngoma zake kama sururu ya kaskazini, ungulia mbwa,na ngoma nyingine za crew kama nyinda nyinda,mamangi wa kichaga, machalari sasa hi  ndio ngoma yake mpya aliyesimama mwenyewe akimshirikisha R DADY (chorus meker) na mkali wa hip hop mr sikati tamaa/nishike mkono mpaka hapo najuwa utakuwa unajuwa namzungumzia nani ni Darasa kutoka AM RECODS ngoma inajulikana kama NTATOBOA chini ya prod MUBAIZO ndani ya studio za PLAN B RECODS ngoma utaipata hapa soon
KWA MAWASILIANO NA QUAVER MNAMA MCHEKI
FACEBOOK : SURURU YA KASKAZINI
+255 763888249
ABDULKARIM SUMA

1 comments: