Majengo mawili yameporomoka huko New York na hadi sasa imetoka ripoti ya watu wawili kufariki na watu wengine kutoonekana.Watu 18 wamejeruhiwa na wanne walikimbizwa hospitali iliyopo karibu na hapo.
Chanzo cha majengo hayo kuporomoka ni mlipuko uliotokana na kuvuja kwa gesi.
Japokuwa chanzo cha kuvuja kwa gesi hiyo bado hakujajulika, mamia ya askari wa kuzima moto wameshiriki kuzima moto ulikuwa unawaka.

0 comments:
Post a Comment