ABDULKARIM SUMA





Thursday, March 13, 2014

Tanzania haimo kati ya Majeshi Imara zaidi kati ya Nchi 7 Afrika-Kenya Yatupiku cheki listi hapa

Mtandao wa www.Globalfirepower.com -umeanisha nchi 7 zenye majeshi imara zaidi Afrika na hii ndio tathimini yao, lakini Tanzania haimo ila kenya ndo wamo.

Egypt: Ina watu zaidi ya milioni 83

Kila mwaka watu 1.5 ,milioni hufikisha umri wa kujiunga na jeshi la nchi hiyo.

Ina Tanks: 5000

Helicopters za kijeshi: 200

Ndege za kivita: 863

mine warfare: 28

Serviceable airports: 84

Budget ya jeshi kwa mwaka ni $4 bilioni.

2: Ethiopia ni ya pili.

Ina idadi ya watu-milioni 84.

watu milioni 2 hufikia umri wa kujiunga na jeshi kwa mwaka.

ina Tanks: 300
Armored vehicles: 1200
Aircrafts: 147
Helcopters: 68

Budget ya jeshi kwa mwaka ni $ 300 milioni.

3. SOUTH AFRIKA.

Ina watu milioni 51

Watu milioni 1 hufikisha umri wa kujiunga na jeshi.
Jumla ya Tanks: 250
Magari ya kivita:1590
Rocket projectors:240
Frigators:4
Submarine:3
Defence budget kwa mwaka: $ 5 milioni.

4. NIGERIA.
Ina watu milioni 160.
watu milioni 3.5 hufikisha umri wa kujiunga na jeshi.
Ina Tanks: 363
Magari ya kivita: 1400
Ndege za kivita: 294
Helcopters: 84
53 serviceable Airports.
Defence budget ni: $ 2.2 bilioni.

5. ALGERIA.
Ina jumla ya watu: 37 milioni.
watu laki 672,000 hufikisha umri wa kujiunga na jeshi.
Ina zaidi ya Tanks: 1000
Magari ya kivita: 1800
Ndege za kivita:400
Helcopters: 136
Submarines: 3

12 coastal crafts
Defence budget: $8 bilioni.

6. KENYA.
Ina jumla ya watu milioni 43

watu laki 839,000 hufikisha umri wa kujiunga na jeshi.
Tanks: 186
Self propelled guns: 30
Ndege za kivita: 148
Helcopters: 78
194 serviceable airports.

Defence budget: $ 5 bilioni.

7. LIBYA.

Ina watu milioni 6
watu laki 116,000 hufikisha umri wa kujiunga na jeshi.
Tanks:500
Magari ya kivita:2500
Self propelled guns:400
Rocket projectors:800
AT Weapons: 1050
Ndege za kivita: 600
Helcopters: 121
Defence Budget: $880 milioni.

0 comments:

Post a Comment