Akiongea na millardayo.com, Msemaji wa WEUSI Nikki wa II ameithibitishia millardayo.com na AyoTVkwamba wamemwadhibu kwa kumsimamisha Lord Eyez kwenye kundi lao.
Taarifa kamili utaipata baadae kwenye AMPLIFAYA ya Clouds FM na pia hapahapa on millardayo.com na kwenye AyoTV lakini pia unaweza kuwa Mwanafamilia wa TZA kwa kujiunga nafacebook.com/millardayo twitter.com/millardayo na instagram.com/millardayo ili stori yoyote isikupite hata usiku wa manane.
0 comments:
Post a Comment