ABDULKARIM SUMA





Friday, October 18, 2013

AyoTV : Angalia hapa teaser ya video mpya ya Hemed PHD

hemed 

Msanii wa bongomovie na bongoflava Hemed Suleiman, amewaonjesha mashabiki zake kipande kidogo cha video ya wimbo wake mpya. AyoTV ipo kwa ajili yako mtu wangu, isikupite teaser hii. Angalia hapa.


0 comments:

Post a Comment