ABDULKARIM SUMA





Friday, October 18, 2013

Movie inayoongoza kwenye box office kuanza kuonyeshwa Tanzania wiki hii, cheki ratiba yote hapa Gravity - Official Teaser Trailer [HD]

gravity Gravity ndiyo movie inayoshika namba moja kwenye mtandao wa box office maarufu kwa kuandika pesa ambazo movie mpya zinaingiza kwa wakati husika. Hivi sasa movie ya Gravity ndiyo inaingiza pesa nyingi sana kuliko nyingine na inaanza kuonyeshwa Tanzania tarehe 18/10. Cheki ratiba ya movie nyingine hapa na ukaangalia kwenye theater uipendayo.




1381337_10151765011838842_128465428_n
1382404_592628344131766_1329139065_n
1385338_10151765009878842_937530659_n

0 comments:

Post a Comment