ABDULKARIM SUMA





Friday, November 29, 2013

BAADA YA DIAMOND KUITAJI WAFANYAKAZI ILIKUWA IVI KWENYE :ZOEZI LA KUWAFANYIA INTERVIEW WALE WALIOTUMA MAOMBI YA KAZI WCB

HICHO NDICHO DIAMOND ALICHOKISEMA
 Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview
 baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa
 mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa
                                                                      juzi,mwitikio
 wa watu ulikuwa mkubwa,watu waliotuma
 email zao pamoja simu,kiasi ilituwia vigumu 
kuwataka wote waje kwenye interview,ilitubidi
 tuchague baadhi ya watu ambao tulihisi wanaweza
 kukidhi sifa tulizozihitaji ingawa nao pia tulipata
 changamoto ya wengi wao kuja pasipo kuzingatia maelekezo 
 na maagizo ya tangazo lilivyotaka,hivyo jana 
nikishilikiana na wataalamu wa hizo sekta tulisaili
 na mwisho wa siku tutachukua wale wenye viwango
 tunavyovihitaji na kuungana na team ya WCB-WASAFI,.....
Ahsanteni sana.


 Usaili kwa vitendo ndiyo kitu tulichokizingatia zaidi......
                                  Tukiangalia kazi za mmoja ya watu tuliowafanyia usaili

0 comments:

Post a Comment