Few hours ago,nchi yangu Tanzania imepata bahati
nyingine tena ya kutembelewa na ,kombe la dunia atakalo
sana duniani kote..Hafla ya kulipokea imefanyika usiku
wa jana ndani ya viwanja vya hotel ya
Serena jijini Dar ,na
Diamond kama balozi wa Coca cola alikuwepo na alipangwa
kama mmoja ya wasanii wa Kitanzania tuliotumbuiza
angalia picha chache hapa........
angalia picha chache hapa........
Home sweet home,Akijiandaa......... |
Security officer,call him Mwarabu akiwa satandby kabisa akinisubili... |
Baada ya kuwasili hotelini@Serena hotel,kulikwa
na ulinzi wa hali ya juu sanaa.........
Akikwea ngazi kuelekea kwenye vyumba In my room kabla ya wasaa wa WCB kufanya yetu
Backstage
Kazi ikaanza kihivii.............!!!!
Kwani nani amenunaa........!!!!!!!!!!!
Mwali mwenyewe...!!!
Hapa sasa.ngololo ngololo..!!!!!!!!!
Aha aaha aaha aipooh..aah aipooh............!!!!!!!!!
0 comments:
Post a Comment